Katibu
Mkuu Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi alianza
ziara yake Same
kwa kufika ofisini kwa Mkuu wa Wilaya ya
Same Mwalimu Herman Kapufi
kujitambulisha.
Katibu Mkuu Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi na ujumbe
wake wakipitia baadhi ya kurasa katika kitabu hicho.
Mkuu
wa Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi Donat Mnyagatwa
(aliyenyoosha mkono)
akimuonyesha Katibu Mkuu
Bi. Maimuna Tarishi (suti nyeusi) eneo lenye
mgogoro wa
mpaka katika Hifadhi ya Mkomazi. Wengine pichani kutoka
kulia
ni Mkurugenzi wa Malikale Donatius Kamambaa;
Kaimu Mkurugenzi wa
Mipango wa TANAPA
Dk. Ezekiel Dembe na Mkurugenzi wa
Utumishi Wizara ya
Maliasili na Utalii Said Msambachi.
Mkuu
wa Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi Donat Mnyagatwa
akitoa Taarifa ya
Hifadhi ya Mkomazi kwa Katibu Mkuu
Maliasili na Utalii pamoja na ujumbe
wake.
Watumishi
wa Hifadhi ya Taifa Mkomazi wakiwa makini
kumsikiliza Katibu Mkuu
Maliasili na Utalii Bi. Maimuna
Tarishi alipowatembelea.
Katibu
Mkuu Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi
(wa pili kulia)
akizungumza na watumishi wa
Hifadhi ya Mkomazi. Wengine pichani kutoka
kulia ni
Mkurugenzi wa Malikale Donatius Kamamba,
Mkuu wa Hifadhi ya
Mkomazi Donat Mnyagatwa na
Mkurugenzi wa Utumishi wa Wizara ya Maliasili
na
Utalii Said Msambachi.
Katibu Mkuu Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi katika
picha ya pamoja na watumishi wa Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi.
Katibu
Mkuu Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi akiangalia
mbwa mwitu
waliohifadhiwa katika uzio maalum kwa ajili ya
kuwalinda Hifadhi ya
Taifa ya Mkomazi.
Picha zote na Pascal Shelutete.